2 Samuel 22:43

43 aNiliwaponda kama mavumbi ya nchi;
niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani.
Copyright information for SwhNEN